AJIRATODAY
Full time Jobs Arusha Other Jobs
Job Description
Wasaidizi wa Bakery at Arusha – Bakery October, 2022
Looking for a Vibrant Male/Female Chef, Who is able to work with no supervision
- Leadership skills
- Ability to come up with the restaurant Menu
- with huge clientele
- Ability to skillfully multitask/Creativity
- Team work
- Time Management
- Respect for Ingredients
- Respect for the Uniform
- Respect for established procedures and Methods
The deadline for submitting the application is 15 November 2022.
Wasaidizi wa Bakery. Full-time Job
Job Details
WASAIDIZI WA BEKARI (2)
- Wasaidizi wanatakiwa kwa ajili ya kufanya kazi mbalimbali kwenye bekari.
Sifa za Muombaji
Muombaji anapaswa kuwa na:
- Elimu ya darasa la saba au kidato cha nne;
- Hamu ya kujifunza vitu vipya;
- Msafi, mwaminifu na mwenye tabia njema;
Njia ya Kutuma Maombi: Kama una sifa zilizotajwa hapo juu, tafadhali tuma barua ya maombi, vyeti na CV yenye marefa watatu na namba zao za simu kwa gastolekule@gmail.com. Hakikisha unaweka namba ya simu kwenye barua ya maombi.
Company Description
- Kiwanda chetu cha mkate kiko jijini Arusha na kimefanya kazi kwa zaidi ya miaka 5 kwa sasa.
START DATE: 2022/11/16
COMPANY: Arusha - Bakery
SALARY: -- per month
JOB TYPE: Full-time
LOCATION: Arusha
JIUNGE MA-GROUPS YETU YA AJIRA YA WHATSAPP. BOFYA HAPA
JIUNGE NA GROUP/CHANNEL YETU YA TELEGRAM. BOFYA HAPA