Friday, October 21, 2022

Bakery Chef at Arusha – Bakery October, 2022

  ajira tanzania       Friday, October 21, 2022


AJIRATODAY

Looking for a Vibrant Male/Female Chef, Who is able to work with no supervision

  • Leadership skills
  • Ability to come up with the restaurant Menu
  • with huge clientele
  • Ability to skillfully multitask/Creativity
  • Team work
  • Time Management
  • Respect for Ingredients
  • Respect for the Uniform
  • Respect for established procedures and Methods

The deadline for submitting the application is 15 November 2022.A

CHEF (1)

Chef atakuwa na majukumu ya kuzalisha mikate na keki. Majukumu mengine ni kama yafuatayo:

-Kutunza kumbukumbu za uzalishaji,

-Kusimamia wafanyakazi wa kitengo cha uzalishaji

-Kufuatilia na kuagiza malighafi za uzalishaji wa mikate na keki;

-Kuhakikisha kuwa kanuni za usafi na usalama zinazingatiwa katika eneo la uzalishaji; na

-Kuwafundisha wafanyakazi wapya kwenye kitengo chake;

Mwombaji awe na sifa zifuatazo

-Mwanaume;

-Elimu ya kidato cha nne na umri usiozidi miaka 25;

-Mbunifu na mwenye uwezo wa kuzalisha bidhaa zenye ubora na mvuto wa hali ya juu kwa wateja;

-Mwenye uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa wala kusukumwa;

-Uzoefu wa kufanya uzalishaji mkubwa wa mikate kuanzia elfu tatu (3,000) kuendelea kwa siku;

-Mchapakazi mwenye uwezo wa kusimamia wafanyakazi wenzake;

-Uwezo wa kutunza muda na kufuata ratiba ipasavyo, ili kupunguza upotevu wa mali ghafi;

-Mwenye afya njema na stamina ya kufanya kazi masaa yote ya kazi;

-Utayari wa kufanya kazi kwenye mazingira yote, siku za wikiendi na siku za sikukuu; na

-Msafi, mwaminifu na mwenye tabia njema.

Njia ya Kutuma Maombi: Kama una sifa zilizotajwa hapo juu, tafadhali tuma barua ya maombi, vyeti na CV yenye marefa watatu na namba zao za simu kwa gastolekule@gmail.com. Hakikisha unaweka namba ya simu kwenye barua ya maombi.

Mwisho wa Kutuma Maombi: Tarehe 15 Novemba 2022.

Company Description

Kiwanda chetu cha mkate kiko jijini Arusha na kimefanya kazi kwa zaidi ya miaka 5 kwa sasa.

START DATE:  2022/11/16
COMPANY:  Arusha - Bakery
SALARY:  -- per month
Negotiable
JOB TYPE:  Full-time
LOCATION:  Arusha

JIUNGE MA-GROUPS YETU YA AJIRA YA WHATSAPP. BOFYA HAPA
JIUNGE NA GROUP/CHANNEL YETU YA TELEGRAM. BOFYA HAPA
logoblog

Thanks for reading Bakery Chef at Arusha – Bakery October, 2022

Previous
« Prev Post