Job Details
FUNDI MAGARI-MOTOR VEHICLE MECHANICS (NAFASI 8)
Kwa niaba ya wateja wetu tunahitaji fundi magari-Motor Vehicle Mechanics kwa ajili ya karakana ya mteja wetu iliyopo Mkuranga Dar Es Salaam.home, home from work, looking for work from home, get paid, i want to work from home
Sekta: Karakana ya utengenezaji magari
Mahali Ilipo: Mkuranga
Mshahara: 500000-900000 Gross Salary
Majukumu atakayofanya:
v Kufanya matengenezo kinga (Preventive maintenance) ya ‘Clutch’, ‘Gear boxes’ mifumo ya breki nk;
v Kuchunguza na kutambua matatizo ya magari na mitambo na kufanya matengenezo;
v Kufanya majaribio ya ubora wa magari na mitambo baada ya matengenezo;
v Kuhakikisha utunzaji wa zana zinazotumika katika karakana za magari na mitambo;
v Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya karakana;
v Kufanya kazi nyingine kama utakavyolekezwa na kiongozi wako.
Vigezo Vinavyohitajika na Udhoefu:
v Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa Ufundi Magari- ‘Motor Vehicle Mechanics’ kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
Namna ya Kutuma Maombi:
Kama unaamini una uwezo na vigezo tulivyohainisha hapo juu tafadhali tuma maombi kupitia email hii kabla ya tarehe 30/11/2022 application@expertconsultancy.co.tz
Tafadhali Fahamu ni wale wenye vigezo ndio tutakaowasiliana nao.
Company Description
Who we are?We are a Strategy & Human Resource Management Consulting firm who;Offer training and management consulting services to business, private practice, government, NGOs, industry, organizations and professional associations.Have extensive experience in training, working in and consulting on a wide range of services.Are aware of the range of environments in which businesses of different types operate from small enterprises to world Class Companies.Understand the issues that are important to managers and the issues typically facing different industries/sector
JIUNGE MA-GROUPS | CHANNEL YETU YA AJIRA YA WHATSAPP. BOFYA HAPA