Job Details
FUNDI MCHUNDO (FITTER AND TURNER) (NAFASI 3)
- Kwa niaba ya wateja wetu tunahitaji mafundi mchundo- Fitter and Turner kwa ajili ya karakana ya mteja wetu iliyopo Mkuranga Pwani.home, home from work, looking for work from home, get paid, i want to work from home
Sekta: Karakana ya utengenezaji magari makubwa na madogo
Mahali Ilipo: Mkuranga
Mshahara: 400000-600000 Gross Salary
Majukumu ya Fundi Mchundo (Fitter & Turner)
v Kuchonga vipuri mbalimbali;
v Kusoma na kutafri michoro mbalimbali inayotumika katika karakana;
v Kuhakikisha hali ya usafi na usalama mahala pa kazi;
v Kuendesha mashine mbalimbali za uchongaji katika karakana kama vile Lathe,
Milling, Grilling, Drilling nk;
v Kufanya kazi za fitting;
v Kushirikiana na wafanyakazi wengine katika kutimiza malengo ya Shirika;
v Kufanya kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na Kiongozi wake
Sifa a Mwombaji
- v Elimu ya kidato cha nne na Cheti cha Ufundi Stadi (Trade Test Grade III/CBET I) yenye mwelekeo wa ‘Fitter and Turner’ kutoka VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
Namna ya Kutuma Maombi:
- Kama unaamini una uwezo na vigezo tulivyohainisha hapo juu tafadhali tuma maombi kupitia email hii kabla ya tarehe 30/11/2022 application@expertconsultancy.co.tz
- Tafadhali Fahamu ni wale wenye vigezo tuu ndio tutakaowasiliana nao.
Company Description
Who we are?We are a Strategy & Human Resource Management Consulting firm who;Offer training and management consulting services to business, private practice, government, NGOs, industry, organizations and professional associations.Have extensive experience in training, working in and consulting on a wide range of services.Are aware of the range of environments in which businesses of different types operate from small enterprises to world Class Companies.Understand the issues that are important to managers and the issues typically facing different industries/sector
START DATE: 2022/12/15
COMPANY: Expert Consultancy Ltd
SALARY: 400,000 - 600,000 per month
Negotiable
JOB TYPE: Full-time
LOCATION: Mkuranga
JIUNGE MA-GROUPS | CHANNEL YETU YA AJIRA YA WHATSAPP. BOFYA HAPA